4 Bedrooms House for sale at Bagamoyo, Mbeya
TSHS MIL 120, GHOROFA LINAUZWA
LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-BOKO BASIHAYA
UPANDE WA JUU DK 4 TOKA BAGAMOYO ROAD
ENEO LAKE LIMEPIMWA SQM 589
NYARAKA ZA UMILIKI LINA SALES AGREEMENT
NYUMBA KUBWA IMEJENGWA KISASA
YENYE;
Vyumba vinne vya kulala vyote ni master, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo & Public Toilet
MIUNDOMBINU YA; Barabara nzuri inafikika nyakati zote
Maji x Umeme vyote vipo
LIMEBAKISHA FINISHING KWA UJUMLA
BEI LINAUZWA TSHS MIL 120
MAONGEZI YAPO KIDOGO
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118