4 Bedrooms House for sale at Boma, Morogoro


Gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne BOMA NA MBAO… ni Tsh 11, 740,000
Sijaweka gharama ya ufundi, gharama bati, grill wala skimming
Mahesabu soma chini
Tsh Tofali 4,300 = 4,300,000
Cement 110 = 1,815,000
Kokoto = 1,000,000
Machanga mende 2= 500,000
Nondo 120 pcs = 2,520,000
Rings 500 = 100,000
Binding wire = 30,000
Mbao 2 x 2 pcs 55 = 137,500
Mbao 2x 4 pcs 30=150,000
Mbao za sahani pcs 30=165,000
Mbao 1x 10 pcs=150,000
Mirunda pcs 75 =262,500
Mbao za kukodi za beam pcs 65= 230,000
Ndoo kubwa 5 na ndogo 8= 65,000
Chepe5 =50,000
Sululu 2=20,000
Jembe2 = 20,000
Kamba za ujenzi 2=10,000
Misumari kg 30= 90,000
Marine pcs 5=275,000
Total = 11,740,000
Unahitaji viwanja nipigie leo 0785367831
Whatsapp 0769355987