4 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA MBILI PAMOJA,TSHS.40 MILIONI,
CHANIKA KWANGWALE/ILALA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kila nyumba ina vyumba 4.
Moja ina Masta moja na nyingine ina Vyumba 4 na Choo cha ku-share.
Ni Mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami.
BEI INAHUSISHA NYUMBA ZOTE MBILI.
___________
ANGALIZO :
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.