4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa
Mali safi
Ipo Goba njia panda ya Tegeta A mita 400 kutoka lami.
Nyumba ni kubwa sana ya kisasa ina vyumba vinne wiwili master, ina store ndani, jiko lenye makabati, dinning yenye space, study/prayer room, public toilet na sebule kubwa yenye nafasi.
Ukubwa wa eneo ni sqm 600
Servant quater ya chumba kimoja
Asking price 230M
Karibuni sana.
#0710614924
#0688653940