4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inauzwa Kali mno
Ina Vyumba Vinne , viwili ni masterbedrooms, sebule kubwa, dinning na JIKO
Ina servant quarter, reserve tenks na water pump
Bei million 230
Location GOBA Njia nne
Umbali kutoka lami mita 400 tu
Documents 📄 HATI MILIKI ndo ipo kwenye mchakato wakukamilika
#0786801000whatsapp