4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.160 MILIINI, GOBA-KWAROBERT.
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Lami ya Goba/Mbezi.
Mtaa umejengeka vizuri na kuna utulivu.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia.
___________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
___________________mpg


















