4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
PAGALE (UNFINISHED HOUSE) NZURI SANA LA KISASA LINAUZWA BEI POAA...
Mwenyewe amekwama sana anahitaji pesa haraka
Lipo mtaa mzuri nani barabara kubwa ya mtaa
Lina room 4 moja ni master, Dinning sitting room, jiko, stoo, na public toilet
Eneo-sqm 500
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 50 maongezi
Location- goba kulangwa
Umbali-km 1 kutoka main road deez pub
Service charge 30k
Karibuni
Tupigie simu: 0672 673363