4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


GHOROFA
INAUZWA
LOCATION
KIGAMBONI KISOTA NYUMBA
IMESHUKA
BEI KUTOKA
MILLION 450 HADI ML 400 MAONGEZI
YAPO KIDG UKUBWA WA KIWANJA
SQMT 1500 ARE NYUMBA
YA VYUMBA 4 VYAKULALA STINGIROOM
DAININGIROOM KITCHEN TOILET PUBLIC
MASTER BEDROOM STOO NYUMBA
HATI MILIKI KABISA YAWIZARA
YA ALIDHI KUTOKA LAMI KM 1 TU KUFIKA KTK NYUMBA
YAKO NYUMBA IPO KTK MTAA MZURI SANA MAJIRANI
WAMEPANGIKA
VYEMA SANA MTAA AMBAO
HATA KUPATA KIWANJA NINGUM SANA
MTAA ULIO TULIA SANA KUTOKA
FERRY KIVUKONI ⛴️ ⛴️ PAKA KWENYE NYUMBA KM 5 TU KUFIKA KTK
NYUMBA UKITOKEA DARAJANI KM 4
TU KUFIKA
KTK NYUMBA SERVICE CHAJI 30,000 #0683491594#0716974073