4 Bedrooms House for sale at Kiluvya, Pwani


NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI
BEI MILLION 90 FULL TITLE DEED WAHI
JUU INAVYUMBA VINNE VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
NA UNDERGROUND (CHINI )KUNA VYUMBA VIWILI (2) VYOTE MASTER BEDROOMS
BEI NI MILLION 90 MAONGEZI PIA YAPO KIDOGO
NYUMBA INA HATI KAMILI ( CLEAR TITLE DEED)
UMBALI TOKA LAMI NI KM 1 TU USAFILI WA BODABODA NI 1000 Na BAJAJI ZIPO PIA
NYUMBA INA MAJI NA UMEME VYOTE TAYALI
NYUMBA INAHITAJI FINISHING TU
UKUBWA WA ENEO NI SQM 1200
☎️☎️0693 468394