4 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INA UZWA ( MILION 55) MAONGEZI YAPO KIDOGO
UKUBWA WA ENEO SQMT 500 NYUMBA HII INA WAPANGAJI
LOCATION;
KIMARA MWISHO PIA UNA WEZA PITIA KIMARA SUKA USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 1500 UKISHUKA DAKIKA 5 MGUU NA GARI INA FIKA HADI HAPO
SIFA ZAKE
#INA VYUMBA 4
#KIMOJA WAPO MASTER
#SEBLE
#PUBLIC TOILET
#UMEME UPO
#MAJI YAPO
#TYRIES GPSUM MADILISHA YA KIOO
INA SPACE KUBWA
GHARAMA ZA KUJA KWENDA KUKAGUA NYUMBA 30000/
0712392325