4 Bedrooms House for sale at Kisima, Kilimanjaro


Nyumba kalli sana wadau wangu bonge la jumba ina uzwa tsh million 69 tu
Ina vyumba vinne vya kulala vyumba vitatu ni masters bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina kisima chamaji na public toylet
Ukubwa wa eneo square mitar 700 ina document yamsuziano ya office ya serikali ya mtaa
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa