4 Bedrooms House for sale at Mapinga, Pwani


Nyumba Mpya inauzwa Mapinga-Bagamoyo,Umbali toka lami bagamoyo Road ni mita 900 tu,Vyumba Vinne vyumba viwili ni master,Sebule,Jiko,Dinning,Store,Public toilet,Vyumba vikubwa sana,Ukubwa wa eneo Sqm 1600.
Bei Milioni 75 Fixed Price
☎️☎️0693 468394