4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Mzambaluni, Dar Es Salaam


Type
House
Bedrooms
4
Bathrooms
3
Amenities
Description
🏠 NYUMBA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI (MZAMBALUNI)
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa kwa bei ya TSh Milioni 65 tu
(Maongezi yapo – njoo site uone mwenyewe!)
📍 Location: Mbagala Chamazi, Mzambaluni
🚶 Umbali: Dakika 5 tu kwa miguu kutoka barabara kuu ya lami
Sifa za Nyumba:
Vyumba 4 vya kulala
2 Master Bedroom
Sitting Room kubwa
Dining Room
Jiko la kisasa
Public Toilet
✨ Nyumba ni kubwa, ya kisasa na ipo kwenye mazingira mazuri sana
🔥 Mwenye nyumba yupo kwenye uhitaji mkubwa – bei hii ni ya “kutupa” kabisa!
📞 Wahi sasa kwa maelezo zaidi: 0683 665504



















