4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA, VYUMBA VINNE (4) TSHS.110 MILIONI,
MBAGALA CHAMAZI.
Hii ni nyumba nzuri ya kisasa yenye nafasi.
Ipo eneo la KWAMKONGO, MBAGALA CHAMAZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Na Parking ina Paving Blocks.
HII NI NYUMBA YA KUHAMIA.
HUHITAJI HATA KUPIGA DEKI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.