4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA VINNE (4) TSHS.40 MILIONI,MLAMLENI MBAGALA KONGOWE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba inaangalia Barabara Pana.
Vyumba 4 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.