4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi magengeni bei milioni 180 maongezi yapo kidogo. Kuna nyumba 2 ndani ya fensi moja, kuna nyumba kubwa ya chini na nyumba ya losheni moja. Nyumba imekamilika kwa kila kitu ndani. Kuna kisima cha maji ndani, umeme upo unawaka, ina rooms 4 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, store, public toilet ipo, rooms 2 vyote ni masters bedroom, paving blocks chini zpo, madilisha vioo, tiliz zpo, fensi ya eneo kubwa ya parking ipo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.