4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
ENEO PAMOJA NA NYUMBA ZAKE LINAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI ( KITUO MK)
Eneo linaukubwa wa SQM 6500
Ndani ya ENEO hili kuna nyumba 3
1. Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
2. Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
3. Kuna nyumba ya chumba kimoja kimoja 4
ENEO la wazi lililobaki nikubwa Sana unaweza kufanya chochote unachotaka
Umbali kutoka Kinyerez road ni Mita 500 Tu
Clear title deed
Bei : MIL. 500 MAONGEZI YAPO
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0679447338
0753454167