4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
PAGALE ZURI LINAUZWA (MILLION 24) MBEZI MWISHO MSAKUZI CENTRE - MAKAMBA SHULE YA MSINGI
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Ina Vyumba Vinne Vya Kulala Viwil Ni Self Contained, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo Jiran
Bei : 24 Million (Maongezi Kidogo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#tanzania #diamondplatnumz #yangasc #simbasc #yangasc #sammisagonews #millardayoupdates #mwanza #fly #viral #creatorsearchinsights #contentcreators #trending #trade #video #news