4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA VINNE(4) $600,000, MBEZI BEACH, BAGAMOYO RD.
Hii ni nyumba ya Ghorofa ya Sakafu 2.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mchm/zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.