4 Bedrooms House for sale at Mtoni, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F22a7da93-3e96-45af-bfef-2796e5081fc1.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F22a7da93-3e96-45af-bfef-2796e5081fc1.jpg&w=256&q=75)
NYUMBA MPYA YENYE HATI, VYUMBA VINNE (4) TSHS.250 MILIONI, MTONI KIJICHI/GATEWAY.
Hii ni nyumba nzuri mpya YAKUHAMIA.
Vyumba vyote vinne (4) kila kimoja kina Choo chake ndani. Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Banda la uwani linalojitegemea.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________zw
Ujenzi wa kisasa.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.