4 Bedrooms House for sale at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA: PUGU
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP
DATE LISTED: 12/09/2024
HOUSE LOCATION: PUGU KWARAHISI
PLOT SIZE: 600 SQM
PRICE: 143 million. (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
- Vyumba 4,Kimoja master Sitting room jiko na store. Dining room na public Toilet.
-Nyumba Ipo kwenye mtaa mzuri.
-Pia Nyumba ni ya tatu kutoka main road.
-Nyumba Ina umeme na maji safi ya kisima.
-Pia Nyumba Ina A/C. Kiwanja Sqm.
-Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya Mtaa.
Pia kiwanja kimepimwa na biconi zimewekwa Hati miliki ipo kwenye process.
NOTE: Eneo Zuri sana na ni kubwa linauzwa bei ya kutupa:
Site Visite: 50000
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 068 370 2330 / 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com