4 Bedrooms House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam
NYUMBA MBILI PAMOJA, TSHS.55 MILIONI, UBUNGO KIBO/ROMBO.
Zipo ndani ya Fensi ila Gari haiingii ndani,
Inaishia nje.
Kiwanja kina ukubwa wa 800.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ni jirani na Barabara ya Morogoro.
Ni Nyumba kubwa 2 ambapo kila moja ina vyumba vinne(3) moja ni Masta.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni 50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.