4 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam
#NYUMBA INAUZWA - MILLION 28
#ILIPO: UKONGA NJIA YA BOMBAMBILI
✔️ NYUMBA INA SEBULE KUBWA, DINNING, VYUMBA VINNE #MASTA MOJA, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
✔️UWANJA MKUBWA 450SQM
✔️NI KULIPA NA KUHAMIA
✔️FINISHING UTAMALIZA UKIWA NDANI
✔️MAJI NA UMEME VIPO
✔️DK 5 KUTOKA BARABARANI
MWENYEWE KAKWAMA, KABLA YA HAPO ILKUA 35M IMESHUKA MPK 28M
🏧 BEBA ATM CARD NJOO, JIOKOTEE NYUMBA
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254
KUPELEKWA NI 20K, OFFER KWA HII NYUMBA TUU.