4 Bedrooms House for sale at Vianzi, Pwani
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F4e9366c4-210e-4546-9b64-a91241ab96fc.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F4e9366c4-210e-4546-9b64-a91241ab96fc.jpg&w=256&q=75)
📢 VIWANJA VINAUZWA VIANZI MJINI! 📢
Furahia fursa ya kumiliki kiwanja chenye huduma zote muhimu kwa bei ya Tzs 3,000,000 tu! 🏡
■UKUBWA WA KIWANJA
Ft 40/50 [Mita 16/13]
Ni nafasi ya kujenga nyumba moja kubwa ya vyumba vinne (4) Bei ni Tsh. 3,000,000/=
✔️ Umeme upo ⚡
✔️ Maji yapo 💧
✔️ Barabara za uhakika 🚗
✔️ Eneo zuri kwa makazi na biashara 🏘️
Usikose nafasi hii adimu ya kumiliki kiwanja chako Vianzi mjini. Karibu tukuhudumie!
📞 MAWASILIANO: 0747141871
Piga sasa ili kupata maelezo zaidi na kuja kuona eneo!
Kiwango ni kidogo, lakini fursa ni kubwa!
#viwanja #viwanjadar
#viwanjavilivyopimwa
#viwanjavizurisana #viwanjakigamboni