4 Bedrooms House for sale at Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA TEGETA WAZO KONTENA - (MILLION 220).
Ina Vyumba Vinne (4) Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 550
Umbali: Meter 500 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Madale Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo Kwenye Nyumba
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 220 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=