5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🏠STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA KOROGWE
UMBALI KM 1
💰KODI 500,000X4/5/6
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA DINNING
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
STORE KUBWA SANA
GARAGE YA KULAZA GARI
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
NYUMBA INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA FUGA PIA
KUTOKA KOROGWE
BODA 1000 HADI KWENYE NYUMBA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA HII SERVICE CHARGE NI TZS.15000 W
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0625606710