5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STEND ALONE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
SIFA YA HII NI
Vyumba vitano vya kulala kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na daing room jiko zuri inajitegea yenyewe kwenye fensi Mazingira salama sana
Nyumba inaalekebisho madogo tuu kama getini na taaza za kisasa
BEI SHILLING 600,000 X 6
USAFIRI BAJAJI SH 1000 DALADALA SH 600 BODABODA 1500
UKISHUKA UNAPIGA MLANGO TEKE
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES SHILLING 20,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258