5 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo
Ina Vyumba 5 vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei Million 1 Laki 8
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744