5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE/NYUMBA INA UZWA
LOCATION:GOBA KULANGWA kituo ni contena la sprite
Mita 300 kutoka lami
Ukubwa sqm 1200
Ina hati miliki
Ukubwa wa nyumba
Ina rooms 5 zote master
Ina sitting rooms 3
Ina dinning kubwa 1
Ina basement rooms 3
Ina gym kubwa
Ina library kubwa
Ina laundry kubwa
Ina kitchen 2 kubwa
Public toilets 2
Air condition
Maji
Umeme
PRICE:ML 800 MAONGEZI
Contact
0625584914


















