5 Bedrooms House for sale at Kiluvya, Pwani


Nyumba ya ghorofa lina uzwa Kigambon chekechea Nyumba ina Vyumba vitano Sebule jiko Dinning kiwanja sqm 900 bei million 700 mazungumzo site nyumba ina tizama lami ya kwenda Kijichiii
☎️0693 468394
NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI
BEI MILLION 95 FULL TITLE DEED WAHI
JUU INAVYUMBA VINNE VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
NA UNDERGROUND (CHINI )KUNA VYUMBA VIWILI (2) VYOTE MASTER BEDROOMS
BEI NI MILLION 95 MAONGEZI PIA YAPO KIDOGO
NYUMBA INA HATI KAMILI ( CLEAR TITLE DEED)
UMBALI TOKA LAMI NI KM 1 TU USAFILI WA BODABODA NI 1000 Na BAJAJI ZIPO PIA
NYUMBA INA MAJI NA UMEME VYOTE TAYALI
NYUMBA INAHITAJI FINISHING TU
UKUBWA WA ENEO NI SQM 1200
☎️☎️0693 468394