5 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAUZWA
@
Mahali kimara temboni
@
Bei milioni 250 (unaweza kutanguliza
M200 nyingine ukamaliza kwa awamu)
@
KM 1 kutoka lami barabara ni rafiki
@
Sqm 600
@
Vyumba 5 vitatu ni master sebule jiko choo diningi store
@
Majiran wamapoa sana mtaa tulivu
@
Hati inatoka kwa jina la mnunuzi
@
Garama ya kuonyeshwa sh 50000
@
Inalipwa mara moja mpaka unapata nyumba
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687