5 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE
Loc: kimara korogwe
Price: milioni 600(maongezi yapo)
Eneo:SQM 1300
Documents:clean
Note:(zingatia)
50,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali 10 percent
Classification:
Nyumba nzuri mpya kabisa Ina vyumba 5 vya kulala 3 master, sebule, dining, jiko full tiles gypsum board madirisha ya kioo nyumba nzuri ya kisasa full parving block parking kubwa mandhali mazuri
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829π
Call:0718123756π