5 Bedrooms House for sale at Makongo, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE
Loc: Makongo juu goba road
Price: milioni 900
Eneo:SQM 2000
Documents:Hati ipo clean
Umbali:mita 300 to main road
Note:(zingatia)
50,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa Dalali 10 percent
Classification:
Nyumba mpya ina vyumba 5 vya kulala vikubwa vyote master , sebule dining jiko kubwa la kisasa nyumba nzuri ya kisasa full air conditioner, parking kubwa,full paving block mandhali nzuri mitaa ya kishua
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈