5 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba haijaisha Ipo Mpigi magoe chama 9km kutoka mbezi mwisho 8 km kutoka bunju b
Vyumba vitano undersground viwili
Chini vinne kimoja master
Juu kimoja master
Sqm 430
Kutoka kituoni Mpigi chama unatembea
Bei 90M