5 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba haijaisha Ipo Mpigi magoe chama 9km kutoka mbezi mwisho 8 km kutoka bunju b 
Vyumba vitano undersground viwili 
Chini vinne kimoja master 
Juu kimoja master 
Sqm 430
Kutoka kituoni Mpigi  chama unatembea 
Bei 90M




















