5 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


.
Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Tabata Kinyerezi Shule
Bei: Milioni 400 (Maongezi)
Dk1 Kutoka Lami, Mtaa Ni Wa Kishua Sanašš»
āļøSqm1000
āļøIna Fremu 5 Mbele
āļøVyumba 4, Kimoja Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
āļøHati Miliki Ya Wizara
āļøMaji Dawasa & Reserve Tank
Piga: 0769138053