3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Bunju A
Ina Vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 350000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744