3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







๐ก NYUMBA INAPANGISHWA โ STAND ALONE
๐ Nyumba iko ndani ya fensi (usalama wa kutosha)
๐ Mahali: Bunju - Mingoi
๐ Maelezo ya Nyumba:
๐๏ธ Vyumba 3 vya kulala (1 ni Master)
๐๏ธ Sebule yenye nafasi
๐ฝ๏ธ Chumba cha kulia chakula (Dining)
๐ณ Jiko zuri lenye nafasi
๐๏ธ Stoo
๐ฝ Public Toilet
๐ฐ Kodi: Tsh 300,000/= kwa mwezi
๐ง Service Charge: Tsh 20,000/=
๐ Wasiliana nasi:
WhatsApp/Simu: 0687 800 788