3 Bedrooms House for Rent at Buswelu, Mwanza
Nyumba hii inapangishwa Iko Buswelu Mwanza Barabara ya kigala Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom jiko dining pabric toilet inajitegemea kwenye uzio Bei 250,00/= malipo kuanzia miezi6 tupigie 0686887297 /0767346478