3 Bedrooms House for Rent at Buswelu, Mwanza
NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA BUSWELU
-ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja ni self contained), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina car parking space, heater, garden, servant quater na water reserve tank
-kodi Tsh 500,000 kwa mwezi
-malipo miezi sita (6)
☎️ 0743220097