3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE GOBA ROAD ๐ฃ๏ธ..
KITUO..KWA ROBATI
UMBALI..DAKIKA 13 KUTEMBEA KUTOKA LAMI
VYUMBA 3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 600,000/=ร3
โผ๏ธNdugu mteja , nyumba hii itakuwa wazi tarehe 15/2/2025
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI