3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
STAND ALONE FOR RENT NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA WALE WENYE FAMILIA KUBWA JAMANIII NYUMBANI YENUUU HIII HAPA
LOCATION:GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE
PIKIPIKI 1000
BAJAJI 500
KODI YAKE:300,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
👉VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA
👉DINNING SAFII
👉JIKO KUBWA
👉TOILET PUBLIC
👉FENI
CONTACT
0782428327