3 Bedrooms House for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/11/2024 KUONA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
0715949085
0782838336