3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_FENSI_NYUMBA HII INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA #450K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko kubwa lenye makabati na public toilet
Kodi 450,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 15 Kwa mguu ( KM 1)
Ndani ya fence parking IPO electric fence,full security cameras
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167