3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_HII KWENYE FENCE YAKE KIBAMBA SHULE #300k
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 4
Parking kubwa fence safi mazingira smart
Umbali KM 2.7
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0753 989554
0652 508128
=====