3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
350,000
āā
#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_HII KWENYE FENCE KIBAMBA SHULE #350š
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 350,000 Kwa mwezi Ć 6
Umbali Dakika 13 Tu Kwa mguu toka kituoni barabara safi
Inajitegemea kila kitu fence tayari , geti linawekwa pervings zinawekwa nyumba NI mpyaaaaaaa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679 956 863
0759151524