3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location geza ulole
<> nyumba Ina vyumba vitatu kimoja master sebule na jiko
✅nyumba inajitegemea
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅mazingira mazurii
✅jirani na barabarani
<> asking price 500k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837