3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko n k
Kodi 600k kwa mwezi
Zipo kigamboni Dalajani tuwasiliane mapema wateja Wangu
📞☎ 0718630932
Au 0746914709
Kalibuni wateja Wangu