3 Bedrooms House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Property Listing:
Location: Maeneo ya Kijitonyama
Rooms: Stand alone House (3 Bedroom), Sebule, and Jiko
Rent: 1,500,000 TZS per month💸
Specifications:
• Nyumba iko Maeneo ya Makongo📍
• Chumba kimoja ni Master.
• Jiko lina vifaa vya kisasa.
• Vyumba Vina Makabati ya Nguo
• Mazingira Mazuri yenye Garden
• Ukuta umewekwa na kuna sehemu ya kuegesha gari.
• Maji na umeme ni ya kulipia binafsi.
• Nyumba iko karibu sana na barabara.
Payment Conditions:
• Kodi ya nyumba kwa mwezi ni 1,500,000 TZS.
• Malipo ya kodi ni kwa miezi sita (6)
Service Fees:
• Gharama ya kuona nyumba ni 20,000 TZS (inalipwa mara moja hadi utakapopata nyumba).
• Gharama ya dalali ni mwezi mmoja wa kodi ya nyumba, ambayo hulipwa na mpangaji tofauti na kodi.
Contact:Simu/Whatsapp: 0744 701 813📲