3 Bedrooms House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


📣Nyumba Nzuri Inapangishwa KIJITONYAMA
📍 Kodi Tsh 1,000,000/= ×6
_
___________
• Vyumba 3 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Parking Kubwa
* Madilisha ya nyavu mazuri
* Mazingira Mazuri na Tulivu
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 1,000,000/=
#Kupelekwa kuona ni 20,000/=
#0753172516